IQNA – Zaidi ya wafanyaziyara milioni 21 wameshiriki katika ziara ya Arbaeen mwaka huu nchini Iraq, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na haram ya Abul-Fadhlil Abbas (AS).
Habari ID: 3481093 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/16
IQNA – Uwezo wa kiustaarabu na wa kujenga taifa ulio ndani ya matembezi n a ziyara yakila mwaka ya Arbaeen unazidi kudhihirika kadiri siku zinavyosonga, amesema kiongozi mwandamizi wa kidini kutoka Iran.
Habari ID: 3481087 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/15
IQNA – Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iraq imetangaza kuwa wafanyaziara wa kigenizaidi ya milioni 4.1 wameshiriki katika ziara ya mwaka huu ya Arbaeen.
Habari ID: 3481086 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/15
IQNA – Katika ziara ya Arbaeen, Waislamu hukusanyika kwa mshikamano ili kufikisha ujumbe wa pamoja wa kusimama imara na kudai haki, amesema afisa wa Kiirani.
Habari ID: 3481084 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/14
IQNA-Mamilioni ya Waislamu kutoka pembe mbalimbali za dunia wamekusanyika katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq kuadhimisha Arbaeen au Arubaini ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (AS), Imam wa tatu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia na mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3481083 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/14
IQNA – Jukwaa la Kielimu la Qur’ani Tukufu, linalohusiana na Astan (uwakilishi wa ulinzi na usimamizi) wa Haram ya Hazrat Abbas (AS), linaandaa programu za Qur’ani na kutoa huduma za kijamii kwa wafanyaziyara wa Arbaeen mjini Najaf.
Habari ID: 3481081 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/13
IQNA – Mashindano ya 11 ya Kimataifa ya Arbaeen yametangaza rasmi mwaliko wa ushiriki katika nyanja mbalimbali za sanaa na fasihi.
Habari ID: 3481078 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/13
IQNA – Mwanazuoni mmoja kutoka Iran amesema kuwa matembezi Arbaeen yanabeba kanuni muhimu ambazo zinaweza kusaidia kuweka msingi wa kustawishwa upya kwa ustaarabu wa Kiislamu.
Habari ID: 3481064 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/10
IQNA – Zaidi ya wafanyaziyara milioni tatu kutoka mataifa ya kigeni tayari wameingia Iraq kushiriki katika matembezi ya kila mwaka ya Arubaini, Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo amesema.
Habari ID: 3481057 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/09
IQNA – Mwanaharakati mkongwe wa Qur’ani amesisitiza umuhimu wa msafara wa Qur’ani wa Arbaeen kutoka Iran katika kueneza na kutambulisha sura ya Qur’ani ya Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3481051 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/09
IQNA – Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iraq amesisitiza juhudi za kila upande zinazofanywa na wizara yake ili kuwatumikia wafanyaziyara wanaoshiriki katika mjumuiko na matembezi ya Arbaeen mwaka huu na kuhakikisha usalama wao kikamilifu.
Habari ID: 3481042 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/08
IQNA – Idara ya Masuala ya Wanawake ya Taasisi ya Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) imeandaa mipango kabambe ya kuwahudumia wafanyaziyara wa kike katika msimu huu wa ziara ya Arbaeen.
Habari ID: 3481032 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/02
IQNA – Shirika la Mikingo ya Mpaka ya Iraq limetangaza kuwa liko tayari kikamilifu kuwapokea wafanyaziyara wa Arbaeen kutoka mataifa ya kigeni.
Habari ID: 3481021 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/30
IQNA-Kundi la maombolezo la Bani Amer, mojawapo ya makundi makubwa zaidi ya waombolezaji nchini Iraq, limeanza matembezi yake ya kiroho kutoka Basra kuelekea Karbala, likiwa limevalia mavazi meupe ya kitamaduni, kwa ajili Arbaeen ya mwaka huu.
Habari ID: 3481014 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/28
IQNA – Taasisi za kidini na kiraia katika mji mtukufu wa Qom, Iran, zinajiandaa kuwapokea zaidi ya wafanyaziyara 500,000 wa Arbaeen kutoka zaidi ya nchi 30, kwa mipango mahsusi ya huduma.
Habari ID: 3481011 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/28
IQNA – Katika kuonyesha mshikamano wa Waislamu, masheikh wa Kisunni walijumuika Jumamosi jioni kwa swala ya jamaa pamoja na ndugu zao wa Kishia katika Haram Takatifu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq.
Habari ID: 3481009 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/27
IQNA – Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) iliyopo Najaf, Iraq, imetangaza kuwa inaendelea na maandalizi makubwa kwa ajili ya kuwapokea Wafanyaziyara wengi wanaotarajiwa kufika kwa ziyara ya Arbaeen ijayo.
Habari ID: 3480996 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/25
IQNA – Shughuli za Msafara wa Qur'ani wa Arbaeen wa Iran mwaka huu nchini Iraq zinatarajiwa kuanza tarehe 5 Agosti, kwa mujibu wa afisa mmoja.
Habari ID: 3480995 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/25
IQNA – Warsha ya tatu maalum ya mafunzo kuhusu mbinu mpya za kuhifadhi Qur’ani Tukufu imeanza katika Shule ya Zuhair Bin Al-Qain huko Karbala, Iraq.
Habari ID: 3480967 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/19
IQNA – Afisa mmoja wa masuala ya utamaduni kutoka Iran amesema kwamba matembezi makubwa ya kila mwaka ya Arbaeen ni fursa ya kipekee ya kuonesha ustaarabu mpya wa Kiislamu.
Habari ID: 3480963 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/18